u did a good job....kila siku kukumbushia ku vote....yaaani hata hiyo moja tunamshukuru Mungu
mkuuu kainunua hiyo tuzo kwani hawezi c anataka sifa kwa gharama yeyote ile
Dstv inaonyeshwa chanel gani na ni number gani?
Hiyo moja niushindi mkubwasana kwetu jamani,Wale wa WEST sio wa kuchezea diamond anafuraha mpaka anakosa cha kusema ikabidi aongeekiswahili tu
Yaah P square won!
Tuzo 1 MTVMAMA=20 KILIMANJARO
mkuuu kainunua hiyo tuzo kwani hawezi c anataka sifa kwa gharama yeyote ile
mkuu hiyo tuzo ni yake toka zamani nilijua cwez fanya hivyohahahahahahaha angalia usijitundike mkuu maana ushapanick tayari
haters walitupa hasira......nilivote mchana asubuhi usiku...Asante Mungu
Wapo wanasoma kimya kimya huku wakiendelea kupiga kura kwa davido ha ha haTeam No Stress! Sijui Vote 4 Davido Wamejificha Wapi?
woyooooooooooopoooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooo,diamond ilove youuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu