pwilo
JF-Expert Member
- May 27, 2015
- 11,561
- 14,627
ni kweli ndo maana hawajaomba sana kura kama domo kayawizkid mwaka jana alikuwa na nominations 3, hakupata hata tuzo moja...
psquare the same tuzo za mtv mara ya mwisho sijui ni lini,.. kati ya mastaa wasio na nyota na tuzo psquare wanaongoza...
Na sio kama anajiamini, yeye alishasema tuzo hazinifanyi kuwa msanii bora, kila mtu na msimamo wake..
Mbona hukumuongelea kibakuli alivyomppigia magoti wema amsaidie ktma??