Live updates: MTVMAMA Awards 2015!

Live updates: MTVMAMA Awards 2015!

Hiyo video mbona ya muda mrefu sana yule nae ana habari za kike kama sio za kitandale tandale mtu mwenye akili za kimataifa kama inavyosemekana hawezi kupost utumbo kama ule

Ebu pozea na hii kwanza, sie tuko busy kwenye maandalizi ya kumpokea icon wetu
 

Attachments

  • 1437294608808.jpg
    1437294608808.jpg
    22.1 KB · Views: 330
Kwahiyo wamebaki kma wajane sasa nguvu zao c wangefanyia maendeleo kuliko kupoteza mda kuzuia rizki y mtu.....jana lazma walipata mshtuko wakaingia period wote

Halafu najitahidi sana kuangalia TRACE URBAN kama nitaona hata chekecha inapigwa lakini mpaka sasa wiki sasa na siku kadhaaa sijawahi kuoina ikipigwa!hata kwenye nyimbo mpya zilizoingia kwenye STARTER haipo!,kwenye trace urban top 30 pia haipooo mweeeeh!!hakika ni pigo takatifu kwao.

Period lazima watu waende tyuuuuu maana mshituko ni mkubwa
 
wizkid na tuzo wapi na wapi hata kura haombi bwana yule anapiga kazi kazi ndo itajieleza sio kila cku click bio to vote click bio to watch video sifaaaa anatakaa

Kama kutokuomba kura ndo kujiamini basi king wetu hajiamini hata kidogo! Kama KTMA aliomba kura vile na kutatafuta backup ya wanawake siku akipata nomination MTV si atatuandikia barua kabisa kuomba kura😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂!
#ubayaubayatu ! #pondaniponde
 
Huyo mfuasi wa kibakuli mbna hasemi anapitia njia gani mana mashababi tunasubiria......nimeshakaa hpa salender mda n gharama kibao nimeshatumia nimenunua mafuta y cherehani,condoms nimvunje jungu
 
Hahaaa hiyo imeshawazoea haimalizi kichefuchefu kuna hii mpya vinegar plus mabungo....yani inatibu mazima mana wengi wana minyoo sugu ndio mana wana kichefuchefu watumia huo mchanganyiko watapona milele

Duuuuuuh hatareeeee wachanganye na viwembe kwenye huo mchanganyiko ili dozii iingie vizuri mwilini 😂😂😂
 
Hivi yule ataetembeza mpododo wake nje, atapita njia gan na muda gani maana niko hapa BIBI TITI RD namsubili na ka tube kangu ka KY JELLY

Mimi nko salendar toka 11 alfajiri nimeingia gharama y kununua condms plus mafuta y cherehani sioni mtu.....mwenye taarifa anapitia njia gani atujuze mapema
 
Laiti kama mimi ningekua team pinzani nisingeonekana kabisa celeb.
Zile post zao vote davido sjui zimefutika!!

Yah na ndio kinachofanya baadhi ya team chibu tuww hivi...

Coz ni furaha sana unapomuona mtu aliokuwa anakutakia mabaya anashuhudia unavyopaa

Raha saaaaana
 
Back
Top Bottom