gnassingbe
JF-Expert Member
- Jun 14, 2015
- 4,826
- 3,583
Mkuu ulivosema diamond kaibuka kidedea nikadhani amechukua tuzo kama NNE hivii
Anastahili pongezi hata kama ni moja Big up diamond.Huyu atakuwa team kiba tu!
Mkuu ulivosema diamond kaibuka kidedea nikadhani amechukua tuzo kama NNE hivii
Kimbley anasema jamaa ameghahirisha zoez, kusikia watu wanamsubil na mafuta ya cherehan... hahahahMimi nko salendar toka 11 alfajiri nimeingia gharama y kununua condms plus mafuta y cherehani sioni mtu.....mwenye taarifa anapitia njia gani atujuze mapema
Halafu najitahidi sana kuangalia TRACE URBAN kama nitaona hata chekecha inapigwa lakini mpaka sasa wiki sasa na siku kadhaaa sijawahi kuoina ikipigwa!hata kwenye nyimbo mpya zilizoingia kwenye STARTER haipo!,kwenye trace urban top 30 pia haipooo mweeeeh!!hakika ni pigo takatifu kwao.
Period lazima watu waende tyuuuuu maana mshituko ni mkubwa
Kimbley anasema jamaa ameghahirisha zoez, kusikia watu wanamsubil na mafuta ya cherehan... hahahah
Laiti kama mimi ningekua team pinzani nisingeonekana kabisa celeb.
Zile post zao vote davido sjui zimefutika!!
Duuuuuuh hatareeeee wachanganye na viwembe kwenye huo mchanganyiko ili dozii iingie vizuri mwilini 😂😂😂
Huyo mwisho wke local channels ilipigwa trace urban mwanzo sasa hivi inasikika sana singida viti special
Huyo mwisho wke local channels ilipigwa trace urban mwanzo sasa hivi inasikika sana singida viti special
laivu ya nini hiyo? he is a best looser
Bado sana yule mtu!sasa kile kisebu sebu cha kutaka kiti chake mbona hajakimiliki mpaka sasa?
Hahaaa hiyo ndozi ni shideeer.....hebu tusaidia kumuuliza kadinda mda gani anapita n barabara ipi....mana mashababi tunamsubiria tupige show y bure
Jokate kiherehere kwisha ha ha ha bora hata Mbunge yupo bize anampost van vicker eti kammissKwakweli wanafki Kama wale wabadeserve shombo maana hamna namna
Anataka kiti cha nini?
Si wameshampa cha kulinda maliasili? ?