AdvocateFi
JF-Expert Member
- Jan 15, 2012
- 11,492
- 5,049
Best male Afrika nzima ni davido yaani hakunaga kama davido.
Tuzo ya maaana
Hataree mwenzetu ye aendelee kutumbuiza tu
Best male Afrika nzima ni davido yaani hakunaga kama davido.
Tuzo ya maaana
Woyoooo...
Alipo davido domo hapumuiii
ushamba mzigo ndugu yangu mwaache apumzike
Hakika huu ni ushindi mkubwa sana kwetuu
Davido alideserve best male.Diamond next time
atafute mtoto halafu ndo awanie best male
sasa best male apewe domo hata mtoto hana
Jamaa akipata tuzo hata 1 mi naenda posta nikiwa utupu.
Ha ha ha hapo mkuki moyoniBy the alipo diamond alikibaka hapumui hapo veeepeee
mnooooo yani burudaniiii
live act yatosha kwa leo
Am sooo wandazzz am on the aeroplane now to Durban
nimefurahi hadi naona niongee kiingereza hivo hivo unga unga soma uelewe
kumshindanisha davido na domo ni sawa na bajaji mbovu na noah mpyaa au mlima na kichuguuWoyoooo...
Alipo davido domo hapumuiii
Vanessa namtabiria mazuri yers to come apambane tu. Go Vee
Best male Afrika nzima ni davido yaani hakunaga kama davido.
Tuzo ya maaana
Wale wasio wazalendo....naona wamepata cha kuongeaa..davido..!!
mnooooo yani burudaniiii
live act yatosha kwa leo
Woyoooo...
Alipo davido domo hapumuiii