ESPRESSO COFFEE
JF-Expert Member
- Sep 6, 2014
- 6,146
- 7,676
Hahahaaaa basi hilo ndo tus lako?
Hahahaaaaaaa inauma lakiniii
Hapana...upo sahihi dai kwa davido badoo saana...but kwa vile mimi ni mzalendo....tz kwanza soo dai kwngu wakwanza davido badaeed
Ikuume ww uane mshobokea MTU ambae hata hakujui labda omba ufe hapa bongo ukazaliwe housegirl Nigeria ukafanye kazi hio kwa davido
Ol DA best
Jamaa akipata tuzo hata 1 mi naenda posta nikiwa utupu.
Jamaa akipata tuzo hata 1 mi naenda posta nikiwa utupu.
Kusema ukweli kutoka moyoni mwangu mimi si shabiki wa diamond platinumz wala ali kiba sana sana napendelea music ya weusi,fidq na ben poul japokua kuna vinyimbo huwa navipendaga pendaga vya wasanii wengine wa bongo ila mostly of the time nashabikia sana music ya huko mbali ila today when i was watching diamond's sikutarajia kwa kweli for the first time nimekua proud na this guy naweza sema yeye ndio kafanya show nzuri sana nina rafiki yangu ni mbostwana ila leo he was live kwenye event amenitext hivi "this diamond guy is awesome his perfomance was epic,send me title of a song he was perfoming today"
Kama tusi na wew ivyo ivyoo.
Team wanenguaji bora kwi kwi kwi
Kama bum bum ni kwaya basi cheketua itakua legelabda ww mi nlikuwepo mda wote hata marekani wangemsaidia kupiga kura bumbum co wimbo uleee ni kwaya
Eti nini haya timiza ahad sasaJamaa akipata tuzo hata 1 mi naenda posta nikiwa utupu.
Khaaaaaaaa jamani hili mbona ni jibu tayari, haya lete swali sasavigezo gani kutumia kumpata mtumbuizaji bora?
hata mim nashangaarais wa wamasai ana usika vip hapa