Live updates: MTVMAMA Awards 2015!

Live updates: MTVMAMA Awards 2015!

team marioo wanatetemeka....wanate wanate wanatetemekaaaaaa!!

Uuuuwiii si si mnaonaaaa, mziki wa Dangote kuuzima hawawezi, si si mnaonaaaaa....Jamani wekeni hata kigodorooooooo.....me silaliiii ndo nshasemaaaaa
 
Huyu dada nguo yake imepasuka akitembea mapaja yanakaa nje hata hawamshtui akabadilishe.
 
kile chenyewe kakikwaa kwa bahati mbaya mwakani wizkid anamkalisha mtu yani domo limshinde davido c maajabu hayo

Kama kawa kuna hizi sijui za wapi na davido yupo....
Vote for davido...
Uzalendo hahahaaaaaaa
 
Kupitia hizi tuzo za mtv, kuna kitu chakujifunza, jamaa wanatenda haki nakuangalia vingezo mbalimbali zaidi yakupiga kura, sio hizi tuzo zetu zinatoka kama njugu
nyi ndo mnarydisha maendeleo nyuma kwa hiyo kila kitu tuige wazungu au nje ya tz na cc tunamsimamo wetu ye domo c alichukua 7 mbona hakurudisha hata moja au coz ni king za maunda kibaaaaaaaa
 
wizkid na tuzo wapi na wapi hata kura haombi bwana yule anapiga kazi kazi ndo itajieleza sio kila cku click bio to vote click bio to watch video sifaaaa anatakaa

Kwani ulitakajeeeee? Mbona unalia lia?
 
Kuamini diamond ni best live act mbele ya Mr flavour ni zaidi ya upopona
Kwa Africa hakuna msanii yeyote anaemfikia flavour kwa live performance

Kama unaikosoa tuzo ya utumbuizaji aliyoshinda Kiba ktma mbele ya dai

Kosoa na hii dai hamfikii flavour hata kwa bakora

Mkuu acha apewe jamani.
Huonagi anavyokata mauno? Na kuvua boxer hadharani.
Wameamua kumpa kifuta machozi ili asikate tamaaa
 
Hahahaaaaaaa kalambe zile ndimu.
Domo mnenguajiiii

Wewe si cute kama unavyojiita,cute ni bora nyanja zote,nina wasiwasi medula yk wewe huyo uliisifia tuzo ya kiba as bestlive kinoma,nadhani ulimpenda dai at beginimg ,hukubahatika ht kusheki hand nae badala yk ukajenga hatred inayokutafuna hd leo poleeeeeeeee!!!!!!
 
Nauliza tuu wadau, msanii pekee toka EAST AFRICA aliyenyakua tuzo za mtv mama 2015 ni..............
í-½í¹Œí-½í¹Œí-½í¹ŒâœŒâœŒí-½í²ƒí-½í²ƒí-½í²ƒí-½í²ƒí-½í²ƒí-½í²ƒí-½í²ƒí-½í²ƒí-½í²ƒí-½í²ƒ

Chibuuuuuuuuuuuuuuu
 
Back
Top Bottom