pwilo
JF-Expert Member
- May 27, 2015
- 11,561
- 14,627
nenda huko wizkid co muafrika au ojuolegba itachukua matuzo kibao na mwakani ndo best male wizkidkwa mwaka jana haina ubishi..
kwa mwaka huu diamond, na tutaichukua mwaksni
nenda huko wizkid co muafrika au ojuolegba itachukua matuzo kibao na mwakani ndo best male wizkidkwa mwaka jana haina ubishi..
kwa mwaka huu diamond, na tutaichukua mwaksni
hiyo style yake yakujibinua binua vitako kama gasho na kutupa t shirt kwa mashabiki
Acha hizo sote tuna akili kama ni hvy bac ingeshindaniwa tuzo moja au category moja tu hicho ni kipaji na ndo mana ht vodovido wk kakishiriki mbululaaaaaaaaaaa nnnn???????
Nauliz hiviii..
Wale waliokuwa kila saa wananiita ni waliniita nije nione domo alivyo mnenguaji bora kama shilole au?
Davido bhanaa hahahaaaa
Hongereni mkuu.
Domo sio mwanamuziki ni dancers..
Hamna tofauti kati ya domo na mose iyobio hahahaaaaa
Nauliz hiviii..
Wale waliokuwa kila saa wananiita ni waliniita nije nione domo alivyo mnenguaji bora kama shilole au?
Davido bhanaa hahahaaaa
Ha haa bebe...kura zenu zote zungeenda kwa chib si ingekuja home hii?? Thoo davido yupo njemaa zaid..
Hahahaaa davido sio mnenguaji ni MWANAMUZIKI BORA
Udancers ndo nn wewe cute b... Endelea kujidhalilisha tu hahaha
Shoo alizokuwa anapiga simiyu zimekata mkuu
Chinekeeeeeeeeeee!!tuzo sita maamae zake hata show moja hanaaaa tangu ashindeeee
Eti ni dancers... Cant you distinguish singular and plural... Au ni chuki imekujaa mpaka huoni
kile chenyewe kakikwaa kwa bahati mbaya mwakani wizkid anamkalisha mtu yani domo limshinde davido c maajabu hayoHahahaaaaaa team ndomo wanajua domo kwa davido bado sana ndo maana dakika za mwisho wakashtuka wakakubaliana wa vote sana kwenye kipengele ambacho davido hayupo la sivyo wangekufa leo
calm down bhana kiba kaingiaje acha hizomwanamuziki kibakuli nasikia ataanza mamantilie tour sio mda kuwashukuru watu kwa kuangalia video ya cheketua youtube
DAVIDO ndo anastahili kuwa mwanamuziki bora kama kiba hahaHAAAAA ILA DOMO KWA KUNENGUA ATA SHILOLE HAONI NDANI.
HATAREEEEE