Freeland
JF-Expert Member
- Jan 24, 2012
- 14,481
- 10,233
All the way from Togo or Tanzania?
huyo jamaa anachemka kinoma.....amesema eti Togo
All the way from Togo or Tanzania?
Haaah nashangaa zile tuzo walitubania yaan sie tumechukua ya Africa sasa 👌👌
Utadhani wakati wa kura walijua chibu mchina ha ha ha leo tuzo ndo mtanzania mwenzetu ha ha ha moyo tii tii tiiiii unakimbiaaaaaaaumeona eeh teh teh teh kweli dunia haiishi vibweka
kudadadekiiiii umemcheki mr fleva anavyoshuka na demu jukwaani mamaaaaa diamond is a killer meeeeeen
Evaluation chameleon ameshindwa amepata d'banj
Naamini Diamond atarudi na mtumbuizaji bora hizi ni hisia zangu maana hizo category nyingine zimekaa vibaya sana.
jamani mimi ni machozi tu yananitiririka hapa, hii furaha mimi siitaki inaniumiza sasa, acheni mumgu aitwe mungu jamani tulizalilishwa saaaaaaaanaaaaaa, tulitukanwa saaaaaanaaaaaaa! tulichambwa saaaaanaaaaaaaaaa. speechlesssss!!! cant talk awards only will speech on my behalf. thank u God