Nimekustahi.
Naona umeshindikana.
Daaaaah umenifanya nilie kwa maneno matamu hayo thankuuuuuuuuuu
Umelitendea haki jina bey
mkuuu kainunua hiyo tuzo kwani hawezi c anataka sifa kwa gharama yeyote ile
mkuu hiyo tuzo ni yake toka zamani nilijua cwez fanya hivyo
Daah Neyo Anakamua Live No Play Back.Somo Kwa Mond
Anaitwa nani?
Hongera diamond platinum kwa ushindi you made us proud. Hongera
Ya kilimanjaro yale yalizidi.....zile hazikuwa tuzo zile....
Unajua kuna sehemu ukishindwa ...unasema yes nimeshindwa kihaki ...sio na Mfalme asiye na nyumba ya kuishi
Pamoja blazaa ... furaha hizi zinatufanya tunacomment chochote.. embu ni dm namba yako ya mpesa fasta
Waliokua wanampigia davido wanajiskiaje ivi mda huu
Ojwang hataki sifa?kwanini na yeye asinunue hata awe nominated tu?!