Kimbley
JF-Expert Member
- Apr 8, 2015
- 3,050
- 2,104
Wapo wanasoma kimya kimya huku wakiendelea kupiga kura kwa davido ha ha ha
Woyooooo!!ES Love youuuuu
Wapo wanasoma kimya kimya huku wakiendelea kupiga kura kwa davido ha ha ha
cheers brother!!uwiiiiiii
hahahahahahaha angalia usijitundike mkuu maana ushapanick tayari
mkuuu kainunua hiyo tuzo kwani hawezi c anataka sifa kwa gharama yeyote ile
+hongeraaaaaaa Mond bin Laden, mtoto mbadest wewe

Tuzo 1 MTVMAMA=20 KILIMANJARO
eti kilimanjaro walisema yule mpuuzi ndio bora...hahahahhaha....hata aibu hawana
Hongera diamond platinum kwa ushindi you made us proud. Hongera
BEST LUSOPHONE ni Mwanadada huyu anafanna na shaa kweli
Hongera diamond platinum kwa ushindi you made us proud. Hongera
mkuu hiyo tuzo ni yake toka zamani nilijua cwez fanya hivyo
Vidole haviumi!!!
Of course.Cheeers diva no matter what bado tunabaki watanzaniaaaa
Wata jua Uwezo Wa MTU ni upi
Najua kina wema kule vyupi vinawabana
Hongera diamond platinum kwa ushindi you made us proud. Hongera
yaaani nina furaha sanaaaaaaaa....hizi zingine hata sizioni
Cheeers diva no matter what bado tunabaki watanzaniaaaa