Live Updates:Mpira Mkubwa,Simba vs Yanga

Live Updates:Mpira Mkubwa,Simba vs Yanga

Uhuru Selemani atawaliza yanga muda si mrefu,,,
 
ngasaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa, wanaokoa hapa simba
 
mapunda yuko chini hapa na refa alichelewa kumwona hadi amestuliwa na mshika kibendera
 
more updates wakuu

dakika ya 22 bao ni bila kwa bila la wanashambuliana kwa zamu, ivo mapunda bado yuko chini pale, kwa wale wasiomjua ivo mapunda ni kipa wa simba, updates zinaeendelea
 
Kwani huyo Ivo si kuna mechi alikatazwa kwenda na hilo litaulo lake golini?
Anajifanya yeye ndio anatoka jasho jingi kuliko magolikipa wengine ama?
acha akili za kitoto joe hart casilas na magolikipa kibao wanaweka taulo kwenye nyavu umeambiwa taulo zinazuia kufungwa?
 
Back
Top Bottom