acha akili za kitoto joe hart casilas na magolikipa kibao wanaweka taulo kwenye nyavu umeambiwa taulo zinazuia kufungwa?
Punda,amesimama sasa.
Mkuu puguza porojo, wewe ni mtu mzima unajua,mbona unakuwa kama ''dogo'' anayejifunza kuvuta bangi
achana nae shemeji yetu huyo,hao makipa wote ulomtajia hamfahamu hata mmoja wapo! Kwake yeye kipa ni kaseja na ivo mapunda tu
Taulo lilipewa kashikashi kiaina.taulo litakua halipo
Taulo limeibwa tena na mshabiki.
kuna mashabiki wa yanga wameenda kumtetea yule aliyetoa taulo la ivo, na askari wa ffu wanaongezeka kwa dalili hizi leo mabomu lazima tu mwisho wa mchezo
simba wanakimbiza sana hapa uhuruuuuuuuuuuuu, goooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooo