Live Updates:Mpira Mkubwa,Simba vs Yanga

Live Updates:Mpira Mkubwa,Simba vs Yanga

images
 
tambweeee anampasia nani paleee aaaa yanga wanauchukua hapa,
 
Huku mwanza Hakuna Umeme jamani tujuzeni matokeo tafadhari
 
dakika ya 35 kuelekea ya 36, simba 1 yanga 0, aaaa ivo anazawadiwa kadi ya njano kwa kusemekana kupoteza muda
 
Lapa la kwanza Lishakanyagwa bado la pili kukanyagwa Simba 1 Yanga 0.
 
Back
Top Bottom