Hapo kapakatwa kwa ushindi gani? Au yanga mkitoa droo na simba kwenu ni ushindi?Simba kapakatwa 1-1
tupeni matokeo
Bora ligi imeisha maana mwaka huu toka uanze hakuna raga.
Kaka kama.yanga hawajaweza tufunga mwaka huu ambao tulikuwa kigodoro watatufunga mwaka gan,magzt yao.wanasema yanga imetimia wameweza toka sare lin watatimia watufunge dah yanga wajipange upya na mwakan tupo kivingine sijui itakuwajeHongereni SSc., tuko juu zaidi ya k2 kwa msimu huu. Simba 7 Yanga 5. (3-3);(3-1);(1-1)
View attachment 152485Hivi. Bado siku ngapi kufika mia za ujenzi wa uwanja.?
mkuu umewaita "yaga" kwa sababu wameshindwa kufurukuta mbele ya simaba au?
yanga timu mbovu kuliko zote Frika nzimaMnajitahidi kutetea nafasi yenu ya 4.
![]()
FULL TIME:
Yanga 1-1 Simba
============
MPIRA UMEKWISHA
wanga{wachawi) watupu wamekutana! tehe tehe tehe!
yanga timu mbovu kuliko zote Frika nzima