Live Updates:Mpira Mkubwa,Simba vs Yanga

Live Updates:Mpira Mkubwa,Simba vs Yanga

Pamoja nanyi nilikua nae Katavi, OKW BOBAN SUNZU, na wengineo, mimi ni Skype nakuaga moja kw moja kutoka hapa uwanja wa taifa, tukutane tena kwenye majukwaa mengine humu jf, kwa herini kwa sasa.
 
Last edited by a moderator:
Kwa taarifa zilizonifikia ni kwamba Hamisi Tambwe atazawadiwa medani
 
TFF msimu ujao msipange simba na Yanga mechi ya mwisho,misimu miwili mmefanya hivyo .Mnapunguza msisimko wa mechi kubwa zaidi East Africa.
 
mkuu umewaita "yaga" kwa sababu wameshindwa kufurukuta mbele ya simaba au?

Hapana mkuu ni makosa tu ya kiuandishi. Halafu uko shapu sana yaani umeshaninukuu tayari? Haya bana hata hivyo nimesharekebisha.
 
TFF msimu ujao msipange simba na Yanga mechi ya mwisho,misimu miwili mmefanya hivyo .Mnapunguza msisimko wa mechi kubwa zaidi East Africa.

kwamba mechi inachezwa bingwa akiwa anajulikana?
 
Kamanda wenu nimefura kwa stress za kufanya ovyo ktk Liki Kuu!Sio ishu,nawaletea live updates mpira mkubwa Mnyama anakipiga na Yanga,Updates FT, SIMBA 1:YANGA 1

Pole kamanda naona kwenye hasira zimekuzidia.
 
Back
Top Bottom