Akili za wachezaji wa Simba wanazijua wenyewe, yaani fungwa na vitimu kibao lakini sio Yamga.
Shabiki wa Simba kazimia
Akili za wachezaji wa Simba wanazijua wenyewe, yaani fungwa na vitimu kibao lakini sio Yamga.
huyo ana matatizo binafsi si kwa ajili ya mechi hii.Shabiki wa Simba kazimia
tupeni matokeo
Na mpiraaaa umekwishaaa, simba 1, yaga 1.