Live Updates:Mpira Mkubwa,Simba vs Yanga

Live Updates:Mpira Mkubwa,Simba vs Yanga

simba wanakwenda, singano, tambwe, wiliam, singano, anatoa pasi haaaa oska anakataaa, wanaanza sasa yanga
 
Yanga kumfunga Simba kwa idadi yoyote ya magoli kwa sufruri ni ndoto,
 
domayo, ngasa anakwendaaaaaaa ni goal kick, anaingia hawaz Juma anatoka mess (Ramadhani Singano)
 
achana nae shemeji yetu huyo,hao makipa wote ulomtajia hamfahamu hata mmoja wapo! Kwake yeye kipa ni kaseja na ivo mapunda tu

Wewe achana namimi kwataarifa yako tu, sina ushemeji nawewe. Na tuheshimiane wewe na huyo mwenzako ndio malimbukeni sukuma reli hamuoni inaleta tatizo? kuna sehemu nimeandika linafanya goli lisiingie? Furahi sasa huyo mmoja ni golikipa wa Man City na mwingine Real Madrid. Na tumerudisha pambafu
 
dkika inakwenda ya 40, msuvaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa gooooooooooooooo, haya yanga wanapata goli la kwaza,
sasa matokeo ni simba 1 yanga 1
 
goooooooooooooooooöoooooooooooooo!!!!!!!!!!!!!
Yanga juu.!!
 
Akili za wachezaji wa Simba wanazijua wenyewe, yaani fungwa na vitimu kibao lakini sio Yamga.
 
Back
Top Bottom