Heche ndo anamaliza hotuba yake, sasa anatamka kumkaribisha Dr. Slaa
Hahaaaaa Mkuu, waliberali wamekimbia lumumba hapo... sasa hivi wapo katika hili kundi kama guest....24 members and 92 guests)
wanabip mziki wa CDM.. WANADHANI CDM NI KAMA KILE CHAMA CHA WALIBERALI WAKATI ULEE 2005, NA 1995..
LAZIMA WAKAE.. NA HAPO HAKUNA CHA MSANII WA AINA YOYOTE.. WALA HAKUNA UBWABWA WALA KHANGA WALA BUKU 5.. WALA MALORI...... R.I.P LUMUMBA TEAM....
bora mtu akafanya ulebali kuliko wizi wa mke wa mtu huku ukijifanya padri. Kumpiga pambaja mwanaume mwenzako haikubaliki.
Eti Babu awe Rais labda wa wapenda vibinti.Mtu mzima utazaaje bila ndoa kama sio uzinzi ni nini
Natumia kitochi
Tupia tupia mapics Hili chama la Peoples chama la wajanja Mikutano ya waliberali na wakomunist huwezi kuona updates za namna hiii
Duuuh, kweli nimeamini chadema ni balaa, kwa jinsi ninavyoujua mji wa moro, kwa kujaza hiviii, kweli chadema ni kiboko!!!
naona waliberali wanatetea kazi yao.Bora mtu akafanya ulebali kuliko wizi wa mke wa mtu huku ukijifanya padri. Kumpiga pambaja mwanaume mwenzako haikubaliki.
poleni sana, hapa kwa mikakati yenu mliua mtu, tutawaletea picha za watu watakaofika kwenye mazishi ya cowobama.
naendelea kutupiamo mie mpaka magamba wanune
Kama watanzania waliweza mkumvumilia alikuwa anaanguka kifafa atakuwa huyu..Hakuna Mtanzania mwenye akili timamu atakayekubali Tanzania iwe na Rais aliyechoka namna hii,
View attachment 95924