Live updates Mkutano wa Dr. Slaa Morogoro.

ni kweli uko hapa moro mkutanoni???
nilidhani ni ubongo wako tu ulioganda kumbe mpaka macho nayo yameganda!!!
pole san..
 
taarifa za uwongo mtupu.hakuna barabara zilizofungwa morogoro,shughuli ziliendelea kama kawaida,ila vibaka walisambaa mji mzima wakitegemea mafirauni wa chadema kuanzisha fujo. kwa bahati,leo viroba viliadimika mji mzima,ndio maana akina nanihii na wengine hawakusikika.babu kaisha kabisa.mpelekeni hospitali apate matibabu.hana jipya.ukubwa wa pua siyo wingi wa mafua.
 
ni mkutano wa kihistoria kwetu sisi hapa moro!
i was there..
magamba wote get this>>>>this is just a beggining najua yana gonga chupi sasa hivi!!
 
picha hizo zimetengenezwa kiufundi kabisa.angalia upande wa kulia hakuna wananchi,kushoto kwa picha vivyo hivyo.mahudhurio ya wananchi yalikuwa ya kawaida kabisa.umati ule tuliouzoea wakati wa enzi za slaa haupo tena.masikini babu.chadema ndio bye bye.chadema wanaugua kifafa.poleni sana.:faint:
 

Kwa uandishi wako ulivyo, kama ulimaliza la saba basi ujue we mwenyewe ni tatizo. Maana unaandika kama bata.
 
Tunapokaribia 2015, cdm waje na mkakati thabiti wa kuwafikia wanawake tnz nzima. Hilo lifabyike pasipokukawia.
 

Sasa chief unaonaje ukiweka picha za huo mkutano unaousemea maana nahisi we ulienda wa tofauti na wenzako,nina mashaka kama unajua kusoma kweli hebu soma hapa kwa sauti kubwa; CHADEMA.
 
Mnajitahidi,lakini mtaji Wa CCM 2015 bado mkubwa sana,jaribuni tena baadae.
 

sita anavyopenda madaraka, akiona wingi huu wa watu tu ni lazima atatangaza kuhamia cdm ili agombee uraisi 2015!
 

wewe nawe.kwa mipashoo...haya tumesikia, kingine?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…