LIVE UPDATES: Mkutano wa CHADEMA viwanja vya ukombozi - MANZESE

LIVE UPDATES: Mkutano wa CHADEMA viwanja vya ukombozi - MANZESE

CHADEMA hivi huo ni mkutano wa hadhara au 'Kitchen party'?

Wakazi wa Manzese wanasema ni aibu kubwa kwa CHADEMA kwani watu ni wachache ajabu!

CHADEMA Dar kushnei, nikikumbuka na ule wa Tundu Lissu pale Tabata ndio vichekesho vitupu.


Wewe unataka wafike wangapi ili urushe kile kinacholipuka?
 
Hebu nitake radhi mie natumia laki 2 kwa wiki kwenye internet tu.

mpuuzi huongea na mtu akianza kusema matumizi yake binafsi ujue ni wa msola au ni mbumbu kama wewe unaaibisha jamii yako
 
CHADEMA hivi huo ni mkutano wa hadhara au 'Kitchen party'?

Wakazi wa Manzese wanasema ni aibu kubwa kwa CHADEMA kwani watu ni wachache ajabu!

CHADEMA Dar kushnei, nikikumbuka na ule wa Tundu Lissu pale Tabata ndio vichekesho vitupu.

any way,mkutano una watu wa5,ila unazisikia hoja za CDM?hata kama ingekuwa kitchen pati,hoja je?
 
Pamoja sn makamanda, mwisho wa cku naamini tutafikisha nchi yetu ktk maendeleo tunayoyahitaji.
 
Msigwa anawanukuu akina Malcom X na Martine Luther King, anasema kujilinda ni akili. Mtu ukijilinda nyumbani kwako ni akili.

Ameelezea namna mkutano wake ulivyovamiwa na vijana wa Green Guard, mchana kweupe wakiwa na mapanga. Vijana wa Red Brigade, ndiyo waliomuokoa huku wengine wakijeruhiwa vibaya sana.

Ameelezea namna ambavyo wabunge Hyness Kiwia na Salva Machemli, walivyovamiwa, kushambuliwa, kupigwa mapanga na mashoka, mbele ya polisi wenye silaha. Hadi leo pamoja na vijana wale kujulikana, hakunanhatua yoyote imewahi kuchukuliwa. Eti uchunguzi unaendelea...

hakika green guard under samvimbi mwigulu nchemba ni hatari kwa amani yetu
 
Madai ya picha ni dhamira ya wazi kwamba magamba wameidhuru mikutano ya cdm ili ikose watu.
 
CHADEMA Dar kushnei, nikikumbuka na ule wa Tundu Lissu pale Tabata ndio vichekesho vitupu.[/QUOTE]
mnataka picha za nini vijana wetu Red brigade wako beach wanajifunza ukakamavu kesho tuone mbwa yeyeto wa green guard mtaelewa maana ya red mnakaribishwa mpate flavour ya red
 
Samahani mkuu Makene!
Tunaomba picha za mkutano ili tuone watu waliohudhuria.

Angalau umeonyesha japo chembe ya busara, ningeanika mambo yako yote hadharani! Picha utapata, wala usiwe na haraka.
 
binti leo picha za cdm zinakuwasha sana.. Au ndio unataka umtume mumewako savimbi mwiguru shetani nchema akarushe bomu baada ya kuwa imetimia idadi fulani... Hata wewe utakufa tu kama wengine wanavyokufa..., hayo ni mambo ya chadema unaweweseka nini?? Kama kuku anayetaka kutaga.... Serukamba mkubwa wewe

unafiki utakuua binti... Umetumika kwa zana za kilimo sasa upo kwa mtoa roho mwiguru maderu shetani.... Itakufaa nini kuua watz hata 200,000 ikiwa hautaishi milele??? Kuwa na utu kidogo m.b.u.z.i wewe

wajameni weka picha hapa!!!
 
Makamanda si mngeweka picha kama mnavyo fanya kwenye mikutano mkiwa Arusha na Moshi.

Mbona huu wa Dar hamuweki picha makamanda?
 
Back
Top Bottom