Tumaini Makene
JF-Expert Member
- Jan 6, 2012
- 2,650
- 6,088
Wakati mapendekezo ya Tume ya Katiba Mpya inasema watu waliowahi kuhukumiwa kwa makosa ya rushwa wasipate nafasi za uwaziri, CCM inapinga.
Anasema CHADEMA inaunga mkono pendekezo hilo kwa sababu waliohukumiwa kwa rushwa mahali wanapostahili kuwa ni Ukonga au Segerea, si uwaziri.
Anasema kuna mambo machache ambayo CHADEMA itapendekeza kwa ajili ya kuboresha Rasimu ya Katiba Mpya, lakini kwa ujumla mambo mengi wanakubaliana na mapendekezo ya Tume ya Jaji Warioba, Tume ya Mabadiliko ya Katiba.
Amewataka wana CCM kujitambua na kuona namna ambavyo chama chao kinapingana na maoni ya Watanzania na haki zao. Amewataka waanze kujiandaa kuachana nacho kwenye uchaguzi ujao.
Sasa anaingia Tundu Lissu, somo ni katiba, ataweka msimamo wa CHADEMA. Anaanza na maneno machache ya ufafanuzi.