Chief Isike
JF-Expert Member
- Jan 17, 2010
- 445
- 462
Wananchi wakinyoosha mikono hewani ishara ya kukubaliana na uamuzi wa Kamati Kuu kuazimia kuwa Red Brigade iimarishwe kwa kupewa mafunzo ya UKAKAMAVU na kisha wakanyoosha mikono kama ishara ya kukubaliana na uamuzi wa CHADEMA kujilinda, self defence, baada ya mashambulio kadhaa yakiwemo majaribio ya kulipuliwa kwa bomu.