Live updates: Mkutano wa CHADEMA - Songea

Live updates: Mkutano wa CHADEMA - Songea


.....

Asanteni sana Makamanda!!!

...dadadek CHADEMA ni zaidi ya
nyuki...

CC biologist ....ecologist.....The big show ...Kusini hub....
 
Hapo utakuta hata hao mabodygurd ni wachaga hichi chama balaa
 
Obam mkuu unatujazia thread bure hakuna jipya unalotuambia .Ila . Nidhairi hata kuku unapomchinja laxima atapetape
 

Naona mabuku 7 wanateseka, ngoja niwapunguzie maumivu;


M4C.jpg
 
Wananchi wakinyoosha mikono hewani ishara ya kukubaliana na uamuzi wa Kamati Kuu kuazimia kuwa Red Brigade iimarishwe kwa kupewa mafunzo ya UKAKAMAVU na kisha wakanyoosha mikono kama ishara ya kukubaliana na uamuzi wa CHADEMA kujilinda, self defence, baada ya mashambulio kadhaa yakiwemo majaribio ya kulipuliwa kwa bomu.

attachment.php
 
Hakuna hata gazeti moja lililoripoti habari ya Chadema Songea

Wananchi wanaenjoy maisha huko songea wanasoma habari ya gazeti siku moja baada ya kutoka Gazeti limeandika halikuandika wananchi wanachojua ni CHADEMA tuu ona sura zao zilivyonabashasha , mitandao ikiruhuru na inteneti, waandishi watatuma tuu habari
attachment.php
 
Walitegemea watoto wangekatazwa na mama zao wasiruhusiwe kwenda mikutano ya CDM, kwa hofu ya mabomu.
 
Back
Top Bottom