utaifakwanza
JF-Expert Member
- Feb 1, 2013
- 14,193
- 2,815
Kwenye huo mkutano CHADEMA itatamkwa mara 200 huku Ccm ikitamkwa mara 50
wakuu naomba Kuuliza Mkutano ni wa CHADEMA? Make mpaka sasa CHDEMA isha tajwa mara 100
Naona nyomi ya kutosha, kwa hili tuache majungu.
Mbona siwaoni watu?