Hawa makamanda makamasi noma sana
Lakini mkuu Mwana Diwani inabidi tuishauri serikali ifungue hospitali maalumu ya kutibu magonjwa ya moyo na depression kwani nina uhakika mwaka 2015 Makamanda wengi watajirusha kutoka ghorofa ya kwanza na kujiua kama sio kupata mshtuko wa moyo au zubaiko la akili
kwanini usihisii serikari ifungue hospitali ya wagonjwa wa vichaa, vichaa kama wewe utibiwe hapahapa nchini