utaifakwanza
JF-Expert Member
- Feb 1, 2013
- 14,193
- 2,815
Unaongea na mzee wa " Imekaa vibaya"
mambo yalikuwa hivi
Unaongea na mzee wa " Imekaa vibaya"
Sasa nani masikini?mbona unakasirika mkuu ukweli unauma ee
CCM mmeamua matusi yawe sera zenu kwa sababu mmekosa political tolerance.Wee unat... a nini?
Unawafahamu wazazi wangu? unajua maana ya neno masikini.
Usinifanye nipate ban hapa ..@?"3 sana wee
CCM mna tabia ya kujitekenya wenyewe na kucheka wenyewe.
Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
matusi hayafai mkuu.bora utukane hivi
Sasa nani masikini?
Anyway haina haja ya kubishana na msukule.
By the way... nakuja Arusha tukutane unikatie kitu kidogo basi au sio TAJIRI
Kwa hiyo mkuu unataka kuniambia sera ya CHADEMA ni ujamaa na ubepari?Ujamaa na kujitegemea ni kauli mbiu ya TANU ambayo CCM imeendeleza kama sera yake kuu...
CHADEMA hakiamini katika ujamaa bali kinaamini katika mrengo wa kati...yaani ujamaa na ubepari...kuwatumia mabepari kujenga uchumi imara kuwainua maskini kuwa katika tabaka la kati bila kumuumiza mtu....
Hii ni sera ambayo inatumiwa na mataifa makubwa yaliyokuwa yakiamini katika ujamaa ambao umekufa..
Mimi huwa ninajiuliza, hivi CCM wanapoitisha mikutano kama hiyo wanawaambia nini wananchi? Maana tangu watuahidi maisha bora kwa kila mtanzania mwaka 2005, hali yetu ya maisha imekuwa mbaya kuliko ya awali, sasa wakija kwa wananchi wanasema nini?
Wanawapa sababu za maisha kuwa magumu zaidi, wanawaambia wavumilie hali inarekebishwa au wanawaambia CHADEMA wamekwamisha utekelezaji wa sera za CCM? Na wananchi tuna nini cha kutufanya tuwaamini hawa watu ambao ndiyo chanzo cha umaskini wetu?
Miongoni mwa wasanii waliokuwepo ni Diamond,Tmk wanume,Kinana,Nape na wasanii wengine kibao kwa kuwa ilkuwa hamna kiingilio watu walikuwepokuwepo japokuwa ni wa kuletwa na maloli.
Hakika morogoro ni base ya ccmWatu ni wengi kweli kweli
angalia hapa mkuuCCM imegeuka kuwa chama cha upinzani.
Hongereni ccm kwa kujiandaa vema kuwa wapinzani kabla ya 2015.
Naona unajifurahisha
Kuweni wavumilivu msitumie 'F' words kwenye mijadala kama Mbunge wenu Serukamba.
Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
Uchaguzi mwingine umetangazwa, utafanyika katikati ya june, madiwani kata 26,na ubunge jimbo moja huko znzUkitaka kujua CCM ni nani angalia uchaguzi wa madiwani mwishoni mwa mwaka jana utapata jibu
moro na mikumi sio mbali,nawaomba muweke ulinzi imara kuwanusuru TEMBO!
Sio kweli, amezungumzia matatizo ya wakulima wa miwa kiwanda cha kilombero na mtibwa, migogoro ya wakulima na wafugaji, miundombinu ya barabara inayojengwa mkoani morogoro kuunganisha na mikoa mingine, katiba mpya na amani ya nchi...mwishoni kabisa ndio amezungmzia chadema..sala haiwezi kukamilika bila kumlaani shetaniKinana kaongea utumbo mtupu,toka mwanzo mpaka mwisho hotuba yake ni kuwaongelea CHADEMA tu.Magamba wamekosa kiongozi
Kwa hiyo mkuu unataka kuniambia sera ya CHADEMA ni ujamaa na ubepari?
Kabla hatujaenda mbali, nikuulize tena, ARE YOU SURE?
CCM inashinda 2015 kwa kishindo sana na hii inatokana na timu waliounda. CCM itashinda tena sana.
Bila kumsahau MLETA WATEJA bila yeye nadhani NAPE na KINANA wangekuwa wanaangaliana na MAGARI yao ya kifahari na Wanamlipa VIZURI haswa angalia picha yake CHINI...
![]()
Mleta wataje na ye ameanza kuponda serikali ya sasa.
Kuna thread imeletwa hapa analalamika "Wanatumiwa tu " na hawanufaiki na
chochote.. ahadi waliahidiwa ni debe tupu ....