siku mbaya hii! haijawah kunitokea katika kupenda kwangu footbal!
Bia inashuka kilainiiii
siku mbaya hii! haijawah kunitokea katika kupenda kwangu footbal!
siku mbaya hii! haijawah kunitokea katika kupenda kwangu footbal!
Ile ya goli 6 ulikuwa haujazaliwa?
Ile ya goli 6 ulikuwa haujazaliwa?
pole sana kaka,yaani unaongea kwa uchuuungu!
Picha tafadhali Wacha1,mfarisayo,mbu tumepitiwa hatujaona magoli
yaaani leo wikiendi safi sana another bottle of wine please..
Mi nataka hao wwanajiita mashetani wafungwe kbs. We utashabikiaje shetani?
Inter+Man City=Sassuolo+......Ndetichia malizia hii equation kama unajua hisabati vizuri!