Huyu David Moyes ingekuwa ndio wazee wa kandambili angekutana na bakora yumkini..... Rooney anapata goli Man City 4 Man utd 1....free kick murua kabisa.
nilifikiri ni barca tu wanao kula kichapo kikubwa kama hicho na hata wengine kufikia hadi kutushushia chama letu kiwango
eti zama za barca zimeisha na leo jee tutasema man u wameisha teh teh teh poleni wakuu na wadau wa man u
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.