Live Updates: Man City Vs Man Utd, live from the Ettihad

Live Updates: Man City Vs Man Utd, live from the Ettihad

Nanusa bao la 5 mmmh!sijui pua zangu bado zipo kwa Sasuolo au...
 
Dakika ya 75

Man City 4-0 Man Utd

Muuaji Dzeko kaingia badala ya Negredo
 
Mmh 3 against 3 Zabaletaa...daah krosi hii kama lenzi mbinuko..Dzekooo..hii kama rula!
 
Dzekoooooo

Hahaaa.....De Gea jamani...

Lilikiwa la 5
 
Dakika ya 80

Man Utd wanakosa goli la wazi....

Man City 4-0 Man Utd
 
Duh....Eti Man Utd wamegeuzwa Tahiti.....Matusi haya sasa....
 
Back
Top Bottom