Live Updates: Bayern Munich vs Real Madrid

Live Updates: Bayern Munich vs Real Madrid

Guadiola nenda mani yu bhana,maana wao ata kocha msaidizi hawana na wewe mwenye kesho likichomoza tu wanakumwaga lol!German football inapotea,tangu lini german football ikawa ya pasi nyingi like this shit!!?
 
Man Utd mmeshapata new candidate wa ukocha. Pep atafukuzwa kesho lol

Nilijua tuu utakuja kuchangia, wangefungwa Madrid ungesema Utd wamchukue Ancheloti, sasa wanafungwa Bayern unamsema Pep.

Utd wameshampata kocha wao lol

Umesikia kuhusu Tony Adams?
 
hii timu kocha kaiharibu na sijui kama atakaa sana
 
Jamani kama kuna mtu kakosa gemu ya leo kakosa uhondo na ladha kamili ya soka
 
Guadiola nenda mani yu bhana,maana wao ata kocha msaidizi hawana na wewe mwenye kesho likichomoza tu wanakumwaga lol!German football inapotea,tangu lini german football ikawa ya pasi nyingi like this shit!!?


Pep alitaka/anataka kuifanya Bayern kama ile Barcelona yake

Ulimsikia baada ya mechi ya mwanzo dhidi ya Madrid alichosema?
 
Dakika ya 50

Bayern 0 - Madrid 3

Bayern hawana plan b mpaka sasa
 
Nilijua tuu utakuja kuchangia, wangefungwa Madrid ungesema Utd wamchukue Ancheloti, sasa wanafungwa Bayern unamsema Pep.

Utd wameshampata kocha wao lol

Umesikia kuhusu Tony Adams?

Bayern walishatolewa tangia mechi ya kwanza. Mechi ya leo inadhihirisha jinsi Pep alivyo one way-style kocha atakaye fit in Old Trafford jinsi mlivyo na weak team. Tony Adams amesharudia Liquors nini?
 
Bayern wanacheza mpira wa uhakika sana pasi wamepiga mara sita ya Madrid na ball possesion 74-26. Madrid akipata mpira ni kukimbia tuu, utadhani tuko kwenye marathon.
mpira magoli mkuu!
 
Nishasema tangu awali kabisa, kuwa Guardiola ameharibu Germany football..

Kama tu Alipata tabu kuifunga Manure ile ya Moyes, ni wazi kabisa asingepenya kwa Madrid..

Ameboa sana!!
 
Pamoja na kudominate Bundesliga Pep kaiharibu Bayern Munich. Timu iliyokuwa inatisha Europa misimu 2 iliyopita imebadilika kuwa kama tmu fulani ya mid-table Premier League.
 
Back
Top Bottom