Live Updates: Bayern Munich vs Real Madrid

Live Updates: Bayern Munich vs Real Madrid

Ng'oa mataluma treni lipumzike safari kabisa.we Ntuzu wee,leta caterpillar,halifungwi goli kesho,tutakutana kwenye matuta.


Mkuu ubashiri wako waweze kua sawa kwasababu ATM lazima wajihami Vzr kuliko kushambulia! Hii itafanya kwenda extra time na matuta! Ata Mimi nahisi hivyo! Lkn km chelsea watashambulia sn na kuweka nguvu Sn kila idara watashinda!
 
Last edited by a moderator:
Dah kweli ukitaka nyoka afe vizuri piga kichwani

Barca alitolewa kwa aibu na Bayern,jana imekuwa aibu tena kwa Bayern.
Goli 4 tena nyumbani,halafu bingwa mtetezi ni aibu
 
......kuna tetesi Backenbauer 'Der Kaiser' ambaye ni Prez wa Bayern Munich na Karl-Heinz Rummenigge hawapendezwi na mfumo wa Pep aliouleta, na kwa matamshi haya ya Pep ...sitaona ajabu kama kibarua hakitaota majani kunusuru German Football!

Kwani wakati wanamchukua hawakujua uchezeshaji wake?

Waende zao huko na unyanyapaa... Hata hivyo, Pep bado anaweza kubebwa na timu kubwa tu!
 
Mzee wa mbinu za mwaka 47, za kupaki treni na kupoteza muda

madrid naona basi lao lilikuwa advance kidogo bayern 64% kwa 36% then score board unaijua yaleyale unasoma sana matokeo yakitoka ume fail mpira wachenga hauna raha tena siku hizi raha mechi ni bao haijalishi upakitreni ila raha tunapata maana bao limeingia
 
Dah kweli ukitaka nyoka afe vizuri piga kichwani

Barca alitolewa kwa aibu na Bayern,jana imekuwa aibu tena kwa Bayern.
Goli 4 tena nyumbani,halafu bingwa mtetezi ni aibu

Mla Huliwa Yakheee - by JK........kwi kwi kwi kwi
 
Real Madrid vs. Bundesliga this season on aggregate:
VS. Schalke 9-2
VS. Dortmund 3-2
VS. Byern Munich 5-0

TOTAL:
17-4

NOT BAD
 
Dah kweli ukitaka nyoka afe vizuri piga kichwani

Barca alitolewa kwa aibu na Bayern,jana imekuwa aibu tena kwa Bayern.
Goli 4 tena nyumbani,halafu bingwa mtetezi ni aibu
la kushangaza ni kwamba walipo wafunga barca watu wingi humu walifurahi na kusema barca hawana mpango sasa na yee leo tutasema hawana mpango au ni gem tu imewakataa
 
Back
Top Bottom