Live Updates: Bayern Munich vs Real Madrid

Live Updates: Bayern Munich vs Real Madrid

Mario Gotze atakuwa anajuta sana kwenda Bayern!!!

Kiwango chake kimeshuka sana!!!
 
Bayan wanajaribu hapa ila si bahati yao, pole sana
 
Ball Possession

Bayern 68 Madrid 32

Live score Bayern 0 Madrid 0

Hapa kuna tatizo sehemu, sasa faida ya kuwa unamiliki mpira ni nini?

Ohh mechi ya kwanza ugenini ball possession ilikuwa Madrid 30 Bayern 70 ila Madrid akashinda

Acha waendelee kumiliki mpira sisi tunaniliki magoli mkuu!!!
 
basi tena mpira ndo umeisha hivyo mambo ya kina Robben na wenzake kuongea kwenye media kesho sijui watakuja na mpya ipi
 
Bye bye Bayern. Congrats RMA and see you at Estádio da Luz stadium in Lisboa @ grand finale!!
 
Haya bana kazi waliyotumwa wameimaliza
Sasa tukalale
 
Back
Top Bottom