sasa hapo unampoteza kabisaaa...
sasa hapo unampoteza kabisaaa...
Madrid wanapigwa tukubali tukatae.
Hawa Bayern leo wana kibarua kigumu sana!!
...sitaona ajabu kama kibarua hakitaota majani kunusuru German Football!"I have to accept the criticism," Guardiola said. "I tell myself 'Pep, calm down'. You are here to work as well as possible, and my best talent is work, work, work. I am here to help the club, and if the club do not want me, a handshake and no problem for me."
Basi ahesabu visoda.
Disaster...!
Bayern wanacheza mpira wa uhakika sana pasi wamepiga mara sita ya Madrid na ball possesion 74-26. Madrid akipata mpira ni kukimbia tuu, utadhani tuko kwenye marathon.
Man Utd mmeshapata new candidate wa ukocha. Pep atafukuzwa kesho lol
Heheheeeeee daaahhh...
Bayern wanacheza mpira wa uhakika sana pasi wamepiga mara sita ya Madrid na ball possesion 74-26. Madrid akipata mpira ni kukimbia tuu, utadhani tuko kwenye marathon.
Bayern wanacheza mpira wa uhakika sana pasi wamepiga mara sita ya Madrid na ball possesion 74-26. Madrid akipata mpira ni kukimbia tuu, utadhani tuko kwenye marathon.
Ndio yale ya....[kwa sauti ya kizenj!---] "yakhe kufungwa twafungwa lakini chenga twawala ami!"