sijui 6 sijui 7? Aaa banaee mi sijui
Kakojoe ukalale kesho shule!
Kwani 3 kujumlisha 5 kutoa 3 jibu ni ngapi?kama hiyo njia ni ngumu basi tafuta KKS yake!
Buyern inabidi ashinde goli 5...unbelievable.
On break now
leo noma! aisee!
Gooooo laa inakula besela hapa. Waungwana leo bayen kama asenal kwa chelsea.
Kwani 3 kujumlisha 5 kutoa 3 jibu ni ngapi?kama hiyo njia ni ngumu basi tafuta KKS yake!
leo noma! aisee!
Huu mpira unavurugu sana hasa bayan wamepoteana wanaleta fujo
Safi mkuu.habari yako mkuuu...