Live Updates: Bayern Munich vs Real Madrid

Live Updates: Bayern Munich vs Real Madrid

Mpira wa leo safi sana ila wa kesho ni mzigo sana
 
Madrid wanapata kona ya kwanza baada ya kufanya counter attack
 
Madrid wamefunga

Ramos mfungaji

dakika ya 15
 
Munich wameshaula wa chuya.... Thugs Madrid ndani ya fainali
 
Dk ya 16 Byn 0-1 Madr wakati huohuo aggregate ni 0-2, madrd wanaongoza
 
Bayern inaonekana wame panic sasa, wanacheza rafu za kijinga na kulalamika lalamika ovyo

Dakika ya 19 free kick

Goli 2 Ramos again
 
Sergio Ramos again Buyern keahapigwa 2 ndani ya dk 20 za mwanzo...Buyern has nothing to do..wanacheza rafu tu wamepanoc sana
 
Back
Top Bottom