Live Updates: Bayern Munich vs Real Madrid

Live Updates: Bayern Munich vs Real Madrid

Bale in his bike hahahahha Road to Lisbon hiyoooooo
 
Kwa mpira huu wa leo wanaocheza Bayern , hawakustahili kabisa kufika hatua hii

Watafungwa magoli mengi sana inaonyesha
 
Dah nasubiria maajabu ya Bayern kufunga goal 5 kipindi cha pili
 
Mweeeeee!
Aggregate:Madrid4-0Bayern.
Ngoja wapigwe tu maana last season walinyanyasa kwa the same kipigo.
 
Madrid wanakosa goli la nne

Ronaldo kakosa

Dakika ya 37
 
Back
Top Bottom