Kigogo
JF-Expert Member
- Dec 14, 2007
- 20,504
- 6,199
Bayern wanacho kibarua cha ajabu leo.....
Tatizo kocha ...hahaaaaa huyu hamalizi mwaka wanamfukuza
Bayern wanacho kibarua cha ajabu leo.....
Hahaaaaaaaa...bayern kumbe si lolote wala chochote....mxxxxxxx
Ata barcelona walikuaga hivyo hivyo,lakini leo ata akikutana na Yanga wanaomba uishe uishe lol!!Dakika ya 23
Bayern 0 - Madrid 2
Ball Possession: Bayern 63 - Madrid 37
Madrid Bingwa.... UCL 2014
Ata barcelona walikuaga hivyo hivyo,lakini leo ata akikutana na Yanga wanaomba uishe uishe lol!!
Huyu Guadiola kaiharibu Buyern which means now days hawachezi ule mchezo wao wa pasi 3 tayari wapo kwenye goli la adui.
Ngoja wapigwe tu.
Ule mpira wa pasi za kufa mtu za Bayern mbona hamna leo?
Tatizo kocha ...hahaaaaa huyu hamalizi mwaka wanamfukuza