Live Updates: Bayern Munich vs Real Madrid

Live Updates: Bayern Munich vs Real Madrid

Sergio Ramos again Buyern keahapigwa 2 ndani ya dk 20 za mwanzo...Buyern has nothing to do..wanacheza rafu tu wamepanoc sana

kama mpira ukimalizika kwa matokeo haya bayan kwaheri
 
Dakika ya 23

Bayern 0 - Madrid 2

Ball Possession: Bayern 63 - Madrid 37
 
Ahsanteni wakuu, kwa kuwa matokeo nimeshayajua ngoja nihamie kwenye mieleka
nitarudi mwishoni kuja kuhakiki tu.
 
Madrid safi sana kamua kamua mpaka wakauke hao kina riberi, kruuzi, roben na vishabiki vyao
 
Bayern wanakosa goli hapa

Ribery kapiga nje

Dakika ya 25
 
Hahaaaaaaaa...bayern kumbe si lolote wala chochote....mxxxxxxx
 
Dakika ya 26

Madrid wanakosa goli

Ronaldo kapiga nje
 
Back
Top Bottom