ndetichia
JF-Expert Member
- Mar 18, 2011
- 27,769
- 6,585
Hahahha.....! Hiyo ni kweli wakishangaa tu Azam watapigwa!
FT Azam fc 1 - 0 msumbiji club K Tchetche 41'
Hahahha.....! Hiyo ni kweli wakishangaa tu Azam watapigwa!
haya mods. wamekusikiaSimba akishinda ban ya maisha inanihusu!
Hao mtibwa bora wafungwe tu.
hiyo droo msemaji wao ataongea sana !
Sip sawa mkuu hata ukichelewa utarudi tu.
ya kweli haya?mtibwa 1
Dk 50 Tot 0-0 Eve
Dak. 87 Mgambo 1-0 Simba.
kweli mkuu, ni ushindi ambao unawapeleka mechi ya pili kwa tahadhari kubwa.dk 85 azam 1 - 0 msumbiji haka kaushindi sio kabisa..
usinikumbushe ya 86.5 fm
sema huyu kocha wetu ni mzee wa kimoko tu..kweli mkuu, ni ushindi ambao unawapeleka mechi ya pili kwa tahadhari kubwa.