meningitis
JF-Expert Member
- Nov 17, 2010
- 8,464
- 4,828
kamoko tu!mnyama kalaliwa!
ya kweli haya?
Dak. 87 Mgambo 1-0 Simba.
Ilikuaje mkuu?
Mbeya City a.k.a #NguvuYaSoda ....Keshaanza kupigwa na Sokoine sasa...
Na Prisons wanayoizomea na kuinyanyapaa imeanza kufanya vizuri Sokoine...Malipo ni hapahapa Duniani.....
Mechi ya leo ya Simba imeniumiza sana na kwa mwenendo huu kati ya mechi tatu za ugenini zilizobaki kuna hatari ya kuvuna pointi chini ya tatu, tunaweza kufurukuta Mbeya lakini Kagera uwezekano wa kufungwa ni mkubwa sana.
- Dk 81, Uhuru anapiga shuti kubwa juu ya lango
- Dk 72, Owino anapiga kichwa lakini kipaa juu ya lango
- Dk 44, Badru anamtoka beki wa Mgambo lakini shuti lake linapaa juu
- Dk 65, Messi anapiga mpira wa adhabu na kupaisha
- ,
That is football, sometimes is like your mother, sometimes like your step mother
Simple!
Ewe M/Mungu muumba wa mbingu na ardhi,nipokelee DUA yangu hii ambayo sijalazimishwa kuiomba.
Najua kuna watu humu ndani wanaitwa ndetichia Kitoabu Masuke mapovu yatawatoka,ila wewe wapotezee tu maana kwako wewe hao ni wadogo kama "NUKTA"
Ila kwa kifupi wabariki hao jamaa wa Msumbiji wamchape Azam bao za kutosha,pia wabariki wapiganaji wetu MUGAMBO wachape huyo SIMBA wa maonyesho ya sabasaba!
Ahsante Mungu.
Cc ACCOUNT FULL Makoye Matale Masuke ndetichia Katavi watu8 Kitoabu
safi sana, nasubiri lawama za msemaji wa mtibwa thobias kifaru!mbeya city 2 wao 1
mkuu kwenu kagera ni wagumu kuliko mbeya city??Mechi ya leo ya Simba imeniumiza sana na kwa mwenendo huu kati ya mechi tatu za ugenini zilizobaki kuna hatari ya kuvuna pointi chini ya tatu, tunaweza kufurukuta Mbeya lakini Kagera uwezekano wa kufungwa ni mkubwa sana.
safi sana, nasubiri lawama za msemaji wa mtibwa thobias kifaru!