Mkuu ni 2-1 mpaka sasa
Hv hayo matokeo ya mbeya city ni kweli ama?
Hv hayo matokeo ya mbeya city ni kweli ama?
7+1=8, mkuu na wewe inabidi upige hizo goli!!Kwa matokeo ya jana Yanga 7-0 Comorozine na ya leo Mgambo 1-0 Simba: imenibidi nitoke out kujipongeza. Niko Mwanza, naelekea Malaika Hotel, nahitaji kampani ya binti mrembo, atajipatia >200,000/=; ni-like kwenye fb au nifuate kwenye twitter kwa taarifa zaidi. First comes, first served.
Mkuu umechanganya mafaili watu wa mbeya wanaipenda city
mkuu kwenu kagera ni wagumu kuliko mbeya city??
Awaulize mtibwa walichofanywa leo.Anacheza. Ni rahisi kupata pt 3 Kagera kuliko kupata pt 1 Mbeya.
Nimechanganya kivp mkuu?...
Kwani ni uongo kwamba Prisons inafanya vizuri na kasi ya MCC imepungua?...
MCC wanafanya vizuri sawa, lakini si sababu ya kuinyanyapaa ama kuizomea Prisons...Zote ni timu za Mbeya....Mbona Mecco na Tukuyu Stars zote zilikuwa zinapendwa mkuu? Japo zilikuwa ni timu pinzani...
Btw kuna mdudu ambaye akiendekezwa ataiua MCC....Siasa za Mbeya
''we will never die''we will be back stronger
Kwa Simba sina wasiwasi wataiwatafuna Mgambo kama wamechemshwa vile, lakini kwa hao Azam inabidi wakaze la sivyo watachezea kichapo wamakonde sio wa kuwachukulia poa, kuna vipaji vingine kutoka Ureno huwa vinakuja kucheza kwenye makoloni yao namanisha mozambique na Angola, kwa hiyo wasije wakashangaa kina Erasto Nyoni wanakutana na mdogo wake Figo au mdogo wake Ronaldo.
Hahahahaha!si tutakua wote hapa JF au ndio ata hapa JF sport utapasusa?
Maana hii mechi lazima simba apigwe.
Yani ni sawa na uji na mgonjwa.
Mkuu kauli nzito hiyo, kufungwa kawaida mkuu.
mkuu kwenu kagera ni wagumu kuliko mbeya city??
Mkuu Masuke una comment gani kuhusu hii post?
Yaani weekend hii imekuwa tamu sana kwangu mimi mwenzenu.....
Liverpool 5 Arsenal 1
Yanga 7 Wakomoro 0
Mgambo 1 Simba 0.
It can't get better than this, can it?
Mliofurahi kama mimi kwa matokeo hayo yote matatu tuungane kufurahi pamoja!!
Tayari niko Malaika Hotel hapa Mza, pembeni nina kiburudisho cha nguvu. Acha nijipongeze, maisha mafupi.
Mkuu we acha, hawa wachezaji ni majuha kweli kuna timu za kutufunga na nyie mkabaki kusema leo bahati haikuwa yetu ndo yale yale ya mwaka ule tunafungwa na Villa Squad halafu ikashuka daraja, tukafungwa na polisi morogoro ikashuka daraja na mwaka juzi tulifungwa na Toto nayo ikashuka daraja yaani sisi tumekuwa ni timu ya kufungwa na timu zinazoshuka daraja maana hata Mgambo kwa jinsi walivyokamata mkia hali sio nzuri ingawa simaanishi kwamba ndo watashuka daraja.