Live updates 02/02/2014:yanga vs mbeya city

Live updates 02/02/2014:yanga vs mbeya city

DAR ES SALAAM YOUNG AFRICANS hata jina linafurahisha mdomoni. Yanga daima mbele ushindi ni haki yetu. kumbuka tunacheza na watu hata ndege hawajawahi kupanda. mazoezi yetu ulaya. I love YANGA
 
mbeta citeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee........yanga leo mna mbombo ngafu.....mnapigwa kama mmesimama vile.....MCC JUUUUUUU
 
Naipenda YANGA kwa mapenzi yangu yote.
Leo Mbeya city itachalazwa 3- O🙂.
YANGA DAIMA MBELE NYUMA MWIKO.
Mtaipenda tu YANGA hata kimyakimya.

uko sahihi mkuu.. leo mbeya city wanapigwa tatu bila
 
DAR ES SALAAM YOUNG AFRICANS hata jina linafurahisha mdomoni. Yanga daima mbele ushindi ni haki yetu. kumbuka tunacheza na watu hata ndege hawajawahi kupanda. mazoezi yetu ulaya. I love YANGA

hawa wanyalu leo ni kichapo tu....mbeya city ni timu ya kijiji wamekuja dar kushangaa magorofa
 
haina ubishi leo yanga tunashinda 3 kwa 1 pointi tatu ni muhimu kwetu
 
Kwa heshima na taadhima nawaomba Mods mtuhamishie uzi huu kwenye jukwaa la Sports, hapa tunapata taabu sana kuiona.
 
hawa wanyalu leo ni kichapo tu....mbeya city ni timu ya kijiji wamekuja dar kushangaa magorofa

ndo leo utajua kama tumekuja lushangaa magorofa au kutandaza soka.....yanga tunawapiga tatu bila
 
ndo leo utajua kama tumekuja lushangaa magorofa au kutandaza soka.....yanga tunawapiga tatu bila

MCC yao nepi hawawezi kuwatunishia msuli wazee wa mji kama Yanga. Kama hawajafungwa, historia yao inakoma leo. Hii round siyo ya mchezo! Nawaomba wana-Yanga tusiwapige mawe kama wao walivyotupiga bali tuwapige bao za kutosha >2.
 
Back
Top Bottom