Live updates 02/02/2014:yanga vs mbeya city

Live updates 02/02/2014:yanga vs mbeya city

Huyo mbeya city lazima akae....YANGA mbele daima kurudi nyuma mwiko!!!
 
Kichapo watachokula yanga leo....mtasimulia nawaambia
 
Yanga 0 - 0 Mbeya city. Mganga wangu ndivyo alivyo niambia.
 
Kichapo watachokula yanga leo....mtasimulia nawaambia

Walahi nataka nikwambie ndugu yangu kwamba haya maneno niliyoyaona humu tangu uzi huu umewekwa hapa asubuhi,ni hatari sana!

Nasema hivyo kwa sababu asilimia kubwa ya watu humu wanaishabikia Mbeya City na wanaonekana wana asilimia kubwa sana ya ushindi!

Lakini nataka niwaonye sana kuweni makini na haya maneno yenu kwa sbb mwisho wa siku isije ikatokea mtu akaanza kulalamika!
 
Yanga leo kufungwa muhimu sana, matokeo yakiwa hivi itapendeza sana YANGA vs MBEYA CITY
0 2
 
Mbeya City lazima akae tu...

Nimeanza kuijua Yanga kabla ya hao Mbeya City kea leo wanisamehe...

Mkuu watu8 umenifurahisha sana leo,safi sana,kuna kitu kule kwetu kinaitwa Ng'ato gi Ng'ato hii kitu mbaya sana na ndiyo hiyo nasikia leo Yanga wanaifanya halafu mtu anabinuliwa!!
 
Last edited by a moderator:
Wakuu bado dakika 7 vipi hakuna ambay ameshawasili kwenye uwanja wa Taifa?!
 
Itakuwa raha sana baadaye tutavyobaki mbeya city tu humu ndani kwenye huu uzi tukishangilia ushindi..
 
Kipa kadaka shuti la moto la Didie Kavumbagu kaumia tumbo
 
Back
Top Bottom