Live updates 02/02/2014:yanga vs mbeya city

Live updates 02/02/2014:yanga vs mbeya city

Yanga wanapata kipigo tu leo

Timu zote zikicheza hakuna kelele ila Yanga. wakiingia tu wanjani tu kila mtu makamasi yanamtoka. Utafikiri ni CHADEMA kamkutano kadogo tu ka dakita tano utamwona RPC jasho linamtoka utafikiri kaambiwa atashushwa cheo. tuachieni YANGA YETU NA CHADEMA CHETU WOTE HAWA DAIMA MBELE
 
leo mbeya city watapigwa bao zaidi ya tatu....! mbeya city wasipofungwa nitatembea uchi kariakoo....hii ni ahadi naiweka na daima sivunjagi ahadi zangu
Kwa kuwa hatukufahamu itakuwa ngumu kuwa na ushahidi. kwa nini usiombe ban japo ya wiki au mwezi kama mwenzako ACCOUNT FULL anavyofanyaga?
 
Last edited by a moderator:

Yanga lazima wapigwe, na watapigwa tu!
 
Hata Toto Africans walikuwa wanatamba vivo hivyo ila wakiingia mchezoni wanacheza mdebweedo maksudi!Yaani kama vile mbwa kaona chatu!Mie nalia na huyu jamaa fundi wa kununua mechi.Ukiwaona Mbeya City wameanza kelele hivyo na Yanga wapo kimya ujue biashara asubuhi jioni ni kuhesabu faida tu!Yetu macho

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums

Samahani mkuu unamaanisha Yanga wamenunua mechi kwa hiyi Lazima Mbeya city leo apakatwe au?!
 
shughuli ya EL saa ngapi na mechi saa ngapi?
nataka hela na nataka kufurahisha nafisi
 
Kwa kuwa hatukufahamu itakuwa ngumu kuwa na ushahidi. kwa nini usiombe ban japo ya wiki au mwezi kama mwenzako ACCOUNT FULL anavyofanyaga?

nitaomba ban hata ya mwaka mzima..!mbeya city lazima wachezee kichapo leo
 
Last edited by a moderator:
mkuu..mimi najiamini.mbeya city lazima wachezee kichapo leo...tumewalea sana hawa wanyalu...leo ni kichapo tu

Naona mganga wenu amewaaminisha hivyo, napata wasiwasi mkubwa kwa kuwa unapambana na timu usioijua hata jina, tizama rangi nyekundu.
 
Wakuu leo ni leo kwenye uwanja wa Taifa mechi kali kati ya Yanga na Mbeya City,hawa unaweza kuwaita wabishi wa ligi kuu bara!

Mbeya City tayari imejigamba kushinda mchezo huo na kwamba hamu yao kubwa ni kuikiza Yanga!

Ni maneni mazito sana kama si matusi ya Mbeya City kwa Yanga!

Mbeya City wanatoa wapi kiburi hiki?!

Nani yuko nyuma ya Mbeya Cty?!

Kutoka uwanja wa Taifa Makoye Matale Revocatus Kashaga, kama umeshatoka Tanga tafadhali sana Updates!

Na wenginei wote jipangeni vizuri kulet updates hapa kwa sbb leo ni Leo lazima akatwe mtu!
Mkuu kiburi cha MCC kinatoka mifukoni mwa wadau wa soccer wa mkoa Mbeya. Kuhusu kukatwa mtu unajiongopea, "hakatwi mtu hapa".
 
Last edited by a moderator:
mbeya city wanaloga sana...mpira hawajui..hiyo yote ni nguvu ya soda..mbeya city wasipofungwa leo nitatembea uchi kariakoo ...leo mbeya city lazima wachezee kichapo
Duh! Mkuu mpaka dunia yaleo bado unaamini uchawi unanguvu michezoni? Mbeya city wana molar wanapokua mchezoni sababu wanapata sapoti kubwa kutoka kwa mashabiki wao, hilo la nguvu ya soda ni lako tu.
 
Kinacho nifanya niishabikie MCC ni kimoja tu, nacho ni record. Sitaki Yanga awe ndie mwenye kuivunja record ya Mbeya city. Natarajia mchezo kuisha kwa sare ya haina yoyote ile.
 
Dah! ambao tuko mikoa ambayo haina ligi kuu tunakosa uhondo...... Na TFF inabania timu yetu ya Stand Utd isipande daaaaah!
Tatizo sio TFF, tatizo linu wadau wa soccer wa huo mko wenu. Wengi wenu munaamini ktk Yanga na Simba tu hizo timu za mikoa yenu munazibeza. Angalieni wenzenu Mbeya wanavyo jidai, ninaimani baada ya miaka 5 kama Mbeya cityatabaki kwenye ligi kuu na moto wao huu huu sidhani kama kuna mwana Mbeya atakae izomea timu yake (Mbeya city) pindi ikicheza na timu za Dar-essalam (Yanga na Simba)
 
Nyeva Vana MGONILE! Neng'uni TWAMBOMBO TULIPO! Twigona Baha Twisiwuya!
 
leo mbeya city watapigwa bao zaidi ya tatu....! mbeya city wasipofungwa nitatembea uchi kariakoo....hii ni ahadi naiweka na daima sivunjagi ahadi zangu
Ungeweka ahadi ya BAN japo ya mwezi mmoja tu ningekua wa maana.
 
Kwani waliofukia mayai matatu uwanjani kule mbeya katika mechi za duru la kwanza ni nani zaidi ya Yanga ....aka wazee wa sembe ama wanaitwa wazee wa daima mbele nyuma wana mwiko....yanga afirika.
 
Naona mganga wenu amewaaminisha hivyo, napata wasiwasi mkubwa kwa kuwa unapambana na timu usioijua hata jina, tizama rangi nyekundu.

mbeya city ni wanyalu tu..leo lazima wapate kichapo cha mbwa mwizi....leo ni kichapo tu
 
Kinacho nifanya niishabikie MCC ni kimoja tu, nacho ni record. Sitaki Yanga awe ndie mwenye kuivunja record ya Mbeya city. Natarajia mchezo kuisha kwa sare ya haina yoyote ile.

hakuna cha sare wala nini..leo mbeya city ni kichapo tu...tunahasira sana na mlivyotufanyia vurugu huko mbeya..nyie wanyalu.leo tutawafundisha soka
 
Back
Top Bottom