Live updates 02/02/2014:yanga vs mbeya city

Live updates 02/02/2014:yanga vs mbeya city

Ungeweka ahadi ya BAN japo ya mwezi mmoja tu ningekua wa maana.

nishasema mbeya city wasipokula kichapo nitaomba ban...haiwwezekani katimu kamepanda daraja kimagumashi katusumbue sisi wakongwe..leo mbeya city ni kichapo tu..hakuna huruma
 
nishasema mbeya city wasipokula kichapo nitaomba ban...haiwwezekani katimu kamepanda daraja kimagumashi katusumbue sisi wakongwe..leo mbeya city ni kichapo tu..hakuna huruma
Sijui nimwambie Invisible....!!! Au niache tu maana ban si nzuri hata siku moja.
 
Last edited by a moderator:
Kwa kuwa mi ni mtu mwema nisiyependa kuona watu wakifedheheka, Ee Mungu naomba hawa watu leo watoke suluhu.
 
Kwa kuwa mi ni mtu mwema nisiyependa kuona watu wakifedheheka, Ee Mungu naomba hawa watu leo watoke suluhu.

hakuna cha sare wala nini..leo mbeyacity ni kichapo tu...wakitoka sare watatamba sana hawa wanyalu
 
nishasema mbeya city wasipokula kichapo nitaomba ban...haiwwezekani katimu kamepanda daraja kimagumashi katusumbue sisi wakongwe..leo mbeya city ni kichapo tu..hakuna huruma
Usitishie kujamba wakati unaharisha, kama vp niwatonye wahusika (Mods) wakuandalie japo mapumziko ya mwezi mmoja tu.
 
Kwa kuwa mi ni mtu mwema nisiyependa kuona watu wakifedheheka, Ee Mungu naomba hawa watu leo watoke suluhu.

Yanga apigwe babu......mtaani hakutakalika wakishinda.
 
Achana na Watu8,angejua Mzee Juma Mwambelo anataka kuiuza Yanga angerejesha mapenzi nyumbani.
 
Safari ya uwanjani inaanza sasa, Mbeya city asipokufa Leo sitaondoka uwanjani mpaka kesho asubuhu
 
Timu zote zikicheza hakuna kelele ila Yanga. wakiingia tu wanjani tu kila mtu makamasi yanamtoka. Utafikiri ni CHADEMA kamkutano kadogo tu ka dakita tano utamwona RPC jasho linamtoka utafikiri kaambiwa atashushwa cheo. tuachieni YANGA YETU NA CHADEMA CHETU WOTE HAWA DAIMA MBELE

Yanga ni ccm bhana na hata tabia zinashabihiana!mf tu
1.Wote wananunua ushindi kwa kutumia pesa za kifisadi
2.Wote wana rangi za kufanana
3.Wakizidiwa mchezo wanatumia ubabe
4.Ushindi wao huanza na propaganda za magazeti
5.Wazee wakivua kofia tu mnafungwa 5!(Huenda wao ndio hucheza)
6.Mkifunga goli mnashangilia CCM,CCM!(Serikali sikivu) kiasi kwamba hata Simba nao wakiwafunga wanawang'ong'a kwa jina hilo hilo mnalolipenda kama tu serikali ya CCM inavyojiita eti "serikali sikivu"na wapinzani siku hizi wanalisema hilo kwa kejeli

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
 
Naipenda YANGA kwa mapenzi yangu yote.
Leo Mbeya city itachalazwa 3- O🙂.
YANGA DAIMA MBELE NYUMA MWIKO.
Mtaipenda tu YANGA hata kimyakimya.
 
Wapi Makoye Matale?!,leo mbona kimya sana mkuu kunani tena au bado mambo hayajasomeka?!

Mkuu Makoye Matale mi huwa nakuaminia sana leo napata mashaka makubwa sana kwa kukaa kimya!!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom