Live updates 02/02/2014:yanga vs mbeya city

Live updates 02/02/2014:yanga vs mbeya city

Wakuu leo ni leo kwenye uwanja wa Taifa mechi kali kati ya Yanga na Mbeya City,hawa unaweza kuwaita wabishi wa ligi kuu bara!

Mbeya City tayari imejigamba kushinda mchezo huo na kwamba hamu yao kubwa ni kuikiza Yanga!

Ni maneni mazito sana kama si matusi ya Mbeya City kwa Yanga!

Mbeya City wanatoa wapi kiburi hiki?!

Nani yuko nyuma ya Mbeya Cty?!

Kutoka uwanja wa Taifa Makoye Matale Revocatus Kashaga, kama umeshatoka Tanga tafadhali sana Updates!

Na wenginei wote jipangeni vizuri kulet updates hapa kwa sbb leo ni Leo lazima akatwe mtu!

Ushindi wa Yanga dhidi ya Mbeya City walau umetupooza machungu wana Liverpool kutokana na kile alichotufanyia Kolo Toure jana. Goli ambalo Kolo aliwazawadia West Brom lilinitia sana uchungu lakini kila nilipokuwa nikikumbuka ushindi wa Yanga nilikuwa napata kafaraja!

Asante Yanga kwa kuu-neutralise msiba wa Anfield.
 
Last edited by a moderator:

Yaani huyu jamaa kwa kweli anatugharimu sana Liver!!

Nimefikisha magoli mawili sasa aliyosababisha, kuna lile kama sikosei tulikuwa tunacheza na Everton mpaka mwenyewe akapiga chini lilivyotinga wavuni. Nafikri Rogers anatakiwa afike mahali amweke bench huyu mburula. Sasa juzi alirudishaje huo mpira? Afadhali Yanga alitutoa kimasomaso!!
 
Back
Top Bottom