Live updates 02/02/2014:yanga vs mbeya city

Live updates 02/02/2014:yanga vs mbeya city

Wakuu nayahitaji hayo matokeo sana maana kunawatu hum wameahidi kutembea uchi, sasa cjui kama familia wanajua au ntamko lako mwenyewe, angalia wasikupeleke milembe!
 
mcc yao nepi hawawezi kuwatunishia msuli wazee wa mji kama yanga. Kama hawajafungwa, historia yao inakoma leo. Hii round siyo ya mchezo! Nawaomba wana-yanga tusiwapige mawe kama wao walivyotupiga bali tuwapige bao za kutosha >2.

sasa hizo nepi ndo tunawavalisha nyinyi leo....tunawapiga bao za kuwaridhisha tena kwenu.......raha ilioje uwanja wenu na kichapo mchezee
 
mpira dakika 90, 2subir 2one kama mbeya city watafanya kile walichosema kwenye vyombo vya habari
 
Hata Galatasaray wanatujua MCC hata Kenya kwa Gor Mahia hamjafika
 
na log off mpaka dkk ya kumi baada ya kukata kilimilimi cha SIMBA na MCC
 
nitakubali matokeo yeyote kwan MCC watoto Wa home na wazee wa uturuki ndo habari ya mujin!
 
hahahahaha tulia mnyikungu ushindi kwa Yanga leo ni lazima

Tuna mtani na mpinzani mmoja tu, Simba. Hizi timu za mchangani sijui kwa nini zinajititia kimbelembele mbele ya wazee. Dawa yao ni kuwakung'uta kuanzia leo, wakienda kwa Simba nako kichapo tu ndipo kelele zitakoma kama walivyocharazwa kule Zenj.
 
Last edited by a moderator:
yanga wasiposhinda leo. hamna timu nyingine itakayoifunja record ya mbeya city isipokuwa mnyama tu.
 
Naona visabengo wa mcc roho juju, kichapo lazima VIVA YANGA.DAIMA MBELE NYUMA MWIKO
 
yanga wasiposhinda leo. hamna timu nyingine itakayoifunja record ya mbeya city isipokuwa mnyama tu.

mbeya city watajuta kuifahamu yanga..leo ni kichapo tu...warudi mbeya wakapigane nondo huko
 
Yanga wanaongoza kila kitu kulia wakishafungwa! Kufia uwanjani wakifungwa! Cha muhimu leo washabiki wa yanga wasikae mbali na vyoo! Leo hawalii wala hawafi lakini watakwenda sana chooni! Homa za matumbo!!
 
kwa kumuhurumia kocha mgeni yanga waapigwa 1-0 tu linatosha wasije wakafukuza kocha.
 
Back
Top Bottom