CHAI CHUNGU
JF-Expert Member
- Feb 20, 2012
- 7,113
- 946
- Thread starter
- #201
Dida pia kaumia duuuuuuu!
Mhh!lakini kweli aise!
Dak. 66 bado Yanga 1-0 Azam.
Pamoja Mkuu.atudo anaweza kubana anajua kijana..
atudo in nyoni out
Aston vila 1 asenal 1 aston vila wamesawazishwa kwa penalti
south south bongo bongo
Dida pia kaumia duuuuuuu!
Majangaaaa
Twite ni noma,kakomaa kama mpingo lol.
Dak. 70 bado Yanga 1-0 Azam.