ndetichia
Platinum Member
- Mar 18, 2011
- 27,769
- 6,589
Kuumia kwa Yondani na Barthez mapema kwa kiasi fulani imekuwa faida kwa Azam, angalau wamefanya mashambulizi kadhaa langoni Yanga. Twite na Didas wamejitahidi kuziba mapeng6 yaliyoachwa, Inshaallah tutashinda.
nahisi kuna ushindi ila dizaini kipre na bocco wanazingua tu..